MOVIE YA BATMAN YASITISHWA URUSI

Urusi inapitia kwenye vizingiti vingi kuanzia siasa,diplomasia,michezo hadi burudani wakiwa wameponzwa na kitendo cha kuishambulia Ukraine.

Kampuni na studio ya Warner Bros imesitisha uzinduzi wa filamu ya "The Batman" nchini humo kama hatua ya kupinga mashambulizi ya Ukraine yanayofanywa na Urusi.

Msemaji wa Warner Bros amesema filamu ya "The Batman" inayotajwa kuwa filamu kubwa zaidi mwaka huu.Filamu hiyo haitachezwa kwenye kumbi za sinema nchini Urusi kutokana na hali inayoendelea Ukraine.

 

Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI