Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 3, 2022

Gigy Money-SASAMBUA (AUDIO official)

Picha
 

Nay wa Mitego-Tumerogwa (Audio Official)

Picha
 

JUX ft GYAKIE - I LOVE YOU (Official video)

Picha
 

PAUL MAKONDA AZIDI KUPETA

Picha
Dar es salaam. Wakili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ,Goodchance Reginald amesema mteja wake hakuwa amepewa wito wa kufika mahakamani zaidi ya kuziona habari hizo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Wakili Reginald ameyasema hayo leo katika mahakama ya Kinondoni jijini Dar es salaam na kuomba mahakama impe muda zaidi mteja wake ili kuwakilisha hati kinzani dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na mwandishi wa habari ,    Saed Kubenea ya kutaka kibali cha kumfutia kesi ya jinai. Kufuatia maombi hayo ,Hakimu mkazi Aron Lyamuya anayesikiliza shauri hilo ,amesema mahakama hiyo inampa Makonda siku 21 kuwasilisha hati hizo kinzani dhidi ya maombi ya kumfutia kesi ya jinai yaliyowasilishwa na Kubenea.

KIKWETE APATA ULAJI SADC

Picha
Gaborone. Rais mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa jopo la Wazee wa  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) litakalokuwa linashughulikia migogoro katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Hafla ya kukabidhiwa barua ya uteuzi huo ,imefanyika Gaborone,Botswana ambapo makamu Mwenyekiti wa Jopo hilo akiwa ni Daramasivum Pillay B,Vay a poory, Makamu wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Mauritius. Kikwete amekabidhiwa barua ya uteuzi huo Februari 28,2022 na Rais wa Botswana na Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa Asasi ya siasa,Ulinzi na usalama wa SADC ,Dkt Moksweetsi Eric Keabetswe Masis

MDOGO WAKE DIAMOND AMKATAA RAYVANNY

 

MAMBO YA KUTISHA YA MFALME ZUMARIDI WA MWANZA

 Tazama mwanzo mwisho alichofanya Mfalme Zumri kwa huyu kijana.

MWIJAKU ALIVYOMNASA NANDY AKICHEPUKA

 

NEY WA MITEGO AUCHAMBUA WIMBO WAKE

  Tazama mwanzo mwisho.

MWANAUME AOA WANAWAKE WATATU MAPACHA

Direct Katika hali ya kushangaza mwanaume huyu amewaoa wanawake mapacha na kuzua gumzo duniani.

KURASA ZA MAGAZETI LEO MARCH 3,2022

Picha

SIRI YA UTAJIRI WA UWOYA HII HAPA

Direct Dar es salaam