Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 9, 2022

MANCHESTER YAKUBALI KUBANWA NA BURNLEY

Picha
UINGEREZA. Klabu ya Manchester United chini ya kocha wake Ralf Rangnick imekubali kugawana point na klabu ya Burnley kwenye dimba la Tuf Moor Manchester ilitangulia kupata goli dakika ya 18 kupitia kwa Paul Pogba huku pia ikikosa goli lingine ni baada ya VAR kukataa goli la Sancho.   Burnley chini ya mkufunzi Steve Bruce ilisawazisha goli na kufanikiwa kupata pointi moja sawa na Manchester kupitia kwa Rodriguez dakika ya 47 ya mchezo. Wakati huo huo miamba wa London klabu ya Everton imekubali karamu ya magoli matatu(3) kutoka kwa matajiri Newcastle. Hii inajiri baada ya klabu ya Everton kumpa kandarasi mkufunzi Frank Lampard. Vilevile wababe wa London klabu ya Westham imechukua alama tatu mbele ya Watford.

MAGAZETI YA LEO FEBRUARY 9

Picha