Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 29, 2022
Harmonize FT Otile Brown - WOMAN (video Lyrics)
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JUNITV
JUNI TV
-
YANGA 1 vs MBAO 0 | GOLI PEKEE LA MAYELLE
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JUNITV
JUNI TV
-
KIMPA KISANGAMENI -Lyrics
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JUNITV
JUNI TV
-
ALIKIBA-UTU (official video lyrics)
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JUNITV
JUNI TV
-
Dar es salaam. Msanii wa mziki wa bongo fleva Alikiba ameachia hit song inayokwenda kwa jina la "utu". Video ya wimbo iko tayari pia ambako Alikiba amethibitisha hilo kwenye mtandao wake wa Instagram. Alikiba ameandika kwamba shooting za video zimefanyika kwenye Mlima Kilimanjaro na eneo la ziwa Duluti lililopo mkoani Arusha
COSOTA HAIJATOA MGAO KWA WCB
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JUNITV
JUNI TV
-

Dar es salaam. Katika hali isiyotarajiwa mamlaka ya kusimamia haki za umiliki wa kazi za sanaa nchini COSOTA imeshindwa kutoa mgao wa fedha kwa kundi la WCB ambalo liko chini ya msanii Diamond Platinum. Mgao huo wa fedha umetoka serikalini kama mrabaha. Majina ya waliopata mgao ni :- 1.Mt Cecilia (Arusha)-Tsh 8.739 ml 2.Alikiba-Tsh mil 7.588 3.Rose Muhando_Tsh 5.79 4.Ambwene Yesaya-tsh 5.64 5.Emanuel Mgogo- Tsh 5.6 6.Christina Shusho- Tsh 4.5 7.Martha Mwaipaja- Tsh 4.2 8.Ambwene Mwasongwe- Tsh 3.43 9.Nandy-Tsh 2.61 10.Maua Sama -Tsh 1.83 11.Sarafina-Tsh 1.83
KURASA ZA MAGAZETI LEO JANUARY 29
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JUNITV
JUNI TV
-
ZARRI ATISHIA KUWASHTAKI WANAOMCHAFUA MITANDAONI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JUNITV
JUNI TV
-
Johannesburg. Zarri the bosslady ameonya wale wote ambao wanatumia jina lake mitandaoni kuwashtaki.Hii inajiri baada ya mwanamziki na mwanamitindo wa Marekani Cardi B kumshinda mzalishaji wa maudhui kwenye mtandao wa youtube kwenye kesi iliolindima kwenye mahakama moja nchini Marekani.Kwenye hukumu ya kesi hio imeamriwa mshtakiwa kumlipa Cardi B zaidi ya bilioni 7 za Tanzania. Kufuatia mkasa huo wa Marekani nae Zarri ametumia mwanya huo kuwaonya wote wanaotumia jina lake vibaya kwenye mitandao ya kijamii.
WAZIRI NAPE ATOA UFAFANUZI SUALA LA VIFURUSHI ATOA UAMUZI HUU MZITO
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JUNITV
JUNI TV
-
Dar es salaam. Waziri wa mawasiliano ,habari na teknolojia Moses Nape Nauye ametolea ufafanuzi suala la gharama za vifurushi. Akifanya mahojiano na shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ,Waziri Nape ameeleza nia ya dhati ilio nayo serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu ya kuweka unafuu wa gharama za simu .