RIPOTI YA KUUNGUA SOKO LA KARUME YAFUNGUA MAZITO

Dar es salaam



Mwenyekiti wa kamati ya kuchunguza kuungua soko la Karume Mwandisi Justin Lukaza ameripoti jumla ya thamani ya fedha zilizotokana na kuungua soko ni zaidi ya bilioni 7.2 huku jumla ya wafanyabiashara 3,090 wakiwa ndio wahaanga wa tukio.


Mwenyekiti wa ulinzi wa mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni mkuu wa mkoa Amos Makala ,ametaja chanzo cha moto kuwa ni mshumaa uliowashwa na watumiaji wa dawa za kulevya (mateja).Makala ameelekeza polisi kuhakikisha wahusika wote wanakamatwa kwasababu wanajulikana.


Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI