GOLI LA MAYELE



 Mwanza.


Timu ya Yanga sports Club imefanikiwa kujikita kileleni mwa ligi ya NBC baada ya kuichapa timu ya Geita Gold Mine ya mkoani Geita goli moja kwa bila.


Yanga ambayo ni kinara wa ligi ya NBC ilijipatia goli lake dakika ya kwanza kupitia kwa FISTON MAYELE ambaye amekuwa mwiba kwa timu za ligi ya Tanzania.


Fiston anakuwa kinara wa magoli ya ligi kuu akiwa na jumla ya mabao 10 na amechangia mengine 3 akifuatiwa na Lusajo pia mwenye magoli 10 huku achangia goli 1.

Maoni

HABARI KUU LEO

ENRIQUE UTATA MTUPU

WACHEZAJI WAPOKEWA KIBINGWA

SABABU YA SADIO MANE KUONDOKA LIVERPOOL