MARIO BALOTELI AITWA TENA ITALIA

Roma.

Mchezaji wa klabu ya Adana Demirspor  ,Mario Baloteli (31) amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Italia.

Mario Baloteli ambaye kwa mara ya mwisho alijumuishwa mwaka 2018 anarudi rasmi kwenye timu ya taifa ya Azzuri kwenye playoff kuelekea michuano ya kombe la dunia nchini Qatar.

Duniani imekuwa habari kubwa kutokana na tabia za "super" ambapo aliwahi kushikana na kocha wake Roberto Mancini akiwa Manchester City ambaye pia ndio kocha wa sasa wa kikosi cha Azurri.


Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI