RIHANNA AONYESHA PICHA ZA UJAUZITO.

Los Angeles. Mwanamziki wa miondoko ya R&B Robby Fenty kwa jina maarufu Rihanna ameonekana kwenye picha alizoweka kwenye mitandao yake ya kijamii akiwa ni mjamzito. Rihanna (35) ni mwanamke msanii mwenye ukwasi mkubwa duniani kupitia kampuni yake ya FENTY .