COSOTA HAIJATOA MGAO KWA WCB

Dar es salaam.

Katika hali isiyotarajiwa mamlaka ya kusimamia haki za umiliki wa kazi za sanaa nchini COSOTA imeshindwa kutoa mgao wa fedha kwa kundi la WCB ambalo liko chini ya msanii Diamond Platinum.

Mgao huo wa fedha umetoka serikalini kama mrabaha.



Majina ya waliopata mgao ni :-

1.Mt Cecilia (Arusha)-Tsh 8.739 ml
2.Alikiba-Tsh mil 7.588
3.Rose Muhando_Tsh 5.79
4.Ambwene Yesaya-tsh 5.64
5.Emanuel Mgogo- Tsh 5.6
6.Christina Shusho- Tsh 4.5
7.Martha Mwaipaja- Tsh 4.2
8.Ambwene Mwasongwe- Tsh 3.43
9.Nandy-Tsh 2.61
10.Maua Sama -Tsh 1.83
11.Sarafina-Tsh 1.83

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA