ALIKIBA-UTU (official video lyrics)

Dar es salaam.

Msanii wa mziki wa bongo fleva Alikiba ameachia hit song inayokwenda kwa jina la "utu".
Video ya wimbo iko tayari pia ambako Alikiba amethibitisha hilo kwenye mtandao wake wa Instagram.Alikiba ameandika kwamba shooting za video zimefanyika kwenye Mlima Kilimanjaro na eneo la ziwa Duluti lililopo mkoani Arusha


Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA