ZARRI ATISHIA KUWASHTAKI WANAOMCHAFUA MITANDAONI


Johannesburg.

Zarri the bosslady ameonya wale wote ambao wanatumia jina lake mitandaoni kuwashtaki.Hii inajiri baada ya mwanamziki na mwanamitindo wa Marekani Cardi B kumshinda mzalishaji wa maudhui kwenye mtandao wa youtube kwenye kesi iliolindima kwenye mahakama moja nchini Marekani.Kwenye hukumu ya kesi hio imeamriwa mshtakiwa kumlipa Cardi B zaidi ya bilioni 7 za Tanzania.

Kufuatia mkasa huo wa Marekani nae Zarri ametumia mwanya huo kuwaonya wote wanaotumia jina lake vibaya kwenye mitandao ya kijamii.


Maoni

HABARI KUU LEO

ENRIQUE UTATA MTUPU

WACHEZAJI WAPOKEWA KIBINGWA

SABABU YA SADIO MANE KUONDOKA LIVERPOOL