SIMBA YAICHAPA BIASHARA 3-0 LIGI YA NBC


Dar es salaam.



Ligi ya NBC imeendelea leo ikizikutanisha timu za Simba Football Club na Biashara United kwenye uwanja wa kumbukumbu ya hayati Benjamin Mkapa "Lupaso".

Timu ya Simba ikitawala mchezo huo imeibuka na ushindi wa mabao matatu yaliyokwamishwa nyavuni na Sakho 8',Mzamiru 13' na Chama 18" yote yakifungwa kipindi cha kwanza cha mchezo.

Baada ya mchezo huo Simba imefikisha jumla ya alama 34 nyuma ya vinara Yanga wenye jumla ya alama 42.

VIKOSI VYA TIMU ZOTE




Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA