IRENE UWOYA ATOA SIRI YA KULA BATA

Dar es salaam.



Mrembo Irene Uwoya amesema hafahamu ni kiasi gani cha pesa huwa anatumia kula bata? Mrembwende huyo akipiga stori Ijumaa hii amesema watu wanakuwa wanafatilia mtindo wa maisha yake ya kula bata.

Mrembo huyu wa tasnia ya filamu Tanzania Bongo movie ametoa siri ya kula bata na kundi kubwa la watu anaosafiri nao nje na ndani ya nchi kwa kusema" pesa haitafutwi bali inategwa".

Irene Uwoya ambaye kwa siku za karibuni amekuwa akitrend mitandaoni akila bata na watu wake pia na manunuzi ya magari ya thamani kubwa na matukio mbalimbali zikiwepo kumbukizi za kuzaliwa za watu wake wa karibu.

Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI