RAIS PUTIN AOMBWA KUUA ZAIDI

 Moscow.



Meja Jenerali wa Chechnya, Ramzan Kadyrov amemuomba Rais Vladimir Putin aruhusu mapigo mabaya ya kushtukiza ili Ukraine isalimu amri ndani ya muda mfupi wa masaa 24.

Ramzan ambaye vikosi vyake viko vitani ameshauri kuachana na mapatano ambayo hayatakuwa na maana zaidi ya kusaini karatasi.

Amesema hawezi kuvumilia kuona wanajeshi wake wanauawa na kadri wanavyozidi kuchelewa ndivyo wanakumbana na vikwazo zaidi.

Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI