DRAKE ANUNUA NYUMBA YA NDOTO YAKE

Los Angeles.



Rappa Drake wa nchini Marekani amenunua nyumba yenye thamani ya dola za marekani milioni 85 sawa na bilioni 187 za shilingi ya Tanzania.

Nyumba hiyo iliyopo eneo la Beverly Hills mjini Los Angels nchini Marekani ina ukubwa wa futi za mraba 25,000 .

Nyumba hiyo ina vyumba vya kulala 10,bafu za kuogea 22,gereji za magari 11,gym na viwanja vya mchezo wa tenisi.


Maoni

HABARI KUU LEO

ENRIQUE UTATA MTUPU

WACHEZAJI WAPOKEWA KIBINGWA

SABABU YA SADIO MANE KUONDOKA LIVERPOOL