YANGA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3

Dar es salaam.



Timu ya wananchi Yanga imejiweka juu ya msimamo wa ligi ya NBC PREMIER LEAGUE kwa alama 42 mbele ya Simba na Azam.

Yanga Sports Club wamejipatia magoli yao kupitia Fiston Mayele (30",52) na Saido Ntibazonkiza (65").Yanga wanafikisha alama 42 tofauti na Simba wenye alama 31.



Wafungaji bora ndani ya kikosi cha kocha Nabil ni Fiston Mayele mwenye magoli 9 ,Saido Ntibazonkiza magoli 6 na Feisal Salim "fei Toto" mwenye magoli 4.

Msimu uliopita mpaka ligi inaisha mfungaji wa Yanga alikuwa Deu Kaseke (6) na Yacouba Sogne (6).


Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA