SIMBA YAKUBALI KUCHAPWA NA MBEYA CITY


Mbeya.

Timu ya Simba sports club ya jiji Dar es salaam imekubali kichapo cha goli moja bila majibu kutoka kwa Mbeya City ya jijini Mbeya.

Maoni