LIVERPOOL YATWAA UBINGWA WA CARABAO CUP

London.



Timu ya majogoo wa Anfliend Liverpool imetwaa ubingwa wa kombe la Carabao kwa jumla ya mikwaju ya Penati 11 na timu ya Chelsea imepoteza mkwaju wa golikipa Kepa Alzabaraga.

Mechi hiyo iliyochezwa kwa jumla ya dakika 120 na kushuhudia ndani ya dakika 90,jumla ya magoli matatu yakikataliwa na VAR.

Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI