BILIONEA ROMAN ABRAMOVICH AJIUZULU CHELSEA

London



Mmiliki wa timu ya Chelsea ya London Kaskazini ,bilionea Roman Abramovich amejiuzulu kwenye wadhifa wake na kuamua kuyaacha majukumu yake kwa bodi ya wadhamini wa klabu hiyo.

Roman anajiuzulu kufuatia shinikizo kutoka katika bunge la Uingereza kutokana na kitendo cha Urusi kuivamia kijeshi nchi ya Ukraine. Bilionea huyo hajaacha kabisa umiliki wa klabu hiyo bali ameacha majukumu ya kuonekana kwenye viunga vya London ambako ndio maskani ya timu hiyo.



Roman Abramovich amekuwa mmiliki wa Chelsea tangu mwaka 2003 na anatajwa kuwa rafiki wa karibu na Rais Vladmir Putin wa Urusi.


Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI