Machapisho

HISTORIA YA MUIMBAJI LATA MANGESHKAR

Picha
Makala. Mnamo tarehe 06/02/2022 saa 2:15 usiku katika hospital ya SANDWICH  ndipo gwiji Lata Mangeshkar aliaga dunia huko Mumbai India huku dalili zote zikionyesha alikuwa na UVIKO 19 ulioshadidishwa na ugonjwa wa mapafu yaani Nimonia.Taarifa ya Dkt Patel Samudanh aliekuwa anamuangalia takribani siku 19 kabla ya kifo chake.Kwa mujibu wa daktari huyo ,viungo vyote vya mwili wake vilisimama na kukataa kufanya kazi ilipofika saa 2:12 usiku uo wa februari 06 mwaka huu. Lata Mangeshkar  alikuwa muimbaji wa nyuma ya pazia (playback singer) ambaye kwa takribani miongo saba (7) mtawalia alitawala masikio na nyoyo za wapenzi wa filamu za kihindi maarufu Bollywood duniani kote. Katika utamaduni wa filamu za kihindi,waimbaji huwa hawaimbi kama tuonavyo bali Casett uwekwa na muigizaji ujifanya tu kuimba kumbe sio kweli na uo ndio utamaduni wa wahindi mpaka leo. Sauti yake Lata Mangeshkar waliemuita kifupi Lata G hutumika kama mvuto wa hisia kwa wapenzi wa filamu za kihindi ambao huusisha makabila

KURASA ZA MAGAZETI LEO 21/02/2022

Picha

KURASA ZA MAGAZETI LEO 19/02/2022

Picha
Jipatie nakala yako kwenye eneo lako.

YANGA YA KIDIGITAL SASA

Picha
Dodoma. Timu ya wananchi Yanga Sports Club imefanikiwa kuwa timu ya kwanza Tanzania kuanzisha  kadi za uanachama za kidigital. Hafla ya uzinduzi wa kadi hizo mpya umefanyika leo kwenye viwanja vya bunge hapa Dodoma huku mgeni rasmi akiwa ni mheshimiwa Spika Dkt Tulia Ackson Mwansasu. Uzinduzi huo ambao rasmi umefanyika bungeni lakini kupitia CEO wake Mbatha Mazingiza amethibitisha kuwa wanachama wa klabu hiyo watapata kadi hizo ndani ya wiki mbili.Akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa Yanga Spika T u l ia amewaomba viongozi wao wakuu na viongozi waliosambaa mikoa yote ya Tanzania kusaka vipaji kwenye mechi za mitaani hili kupata wachezaji wapya na ambao watakuwa na mchango kwa timu hiyo na timu ya Taifa.