YANGA YA KIDIGITAL SASA

Dodoma.


Timu ya wananchi Yanga Sports Club imefanikiwa kuwa timu ya kwanza Tanzania kuanzisha  kadi za uanachama za kidigital.



Hafla ya uzinduzi wa kadi hizo mpya umefanyika leo kwenye viwanja vya bunge hapa Dodoma huku mgeni rasmi akiwa ni mheshimiwa Spika Dkt Tulia Ackson Mwansasu.



Uzinduzi huo ambao rasmi umefanyika bungeni lakini kupitia CEO wake Mbatha Mazingiza amethibitisha kuwa wanachama wa klabu hiyo watapata kadi hizo ndani ya wiki mbili.Akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa Yanga Spika T
u


l
ia amewaomba viongozi wao wakuu na viongozi waliosambaa mikoa yote ya Tanzania kusaka vipaji kwenye mechi za mitaani hili kupata wachezaji wapya na ambao watakuwa na mchango kwa timu hiyo na timu ya Taifa.


Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA