Machapisho

KURASA ZA MAGAZETI LEO 19/02/2022

Picha
Jipatie nakala yako kwenye eneo lako.

YANGA YA KIDIGITAL SASA

Picha
Dodoma. Timu ya wananchi Yanga Sports Club imefanikiwa kuwa timu ya kwanza Tanzania kuanzisha  kadi za uanachama za kidigital. Hafla ya uzinduzi wa kadi hizo mpya umefanyika leo kwenye viwanja vya bunge hapa Dodoma huku mgeni rasmi akiwa ni mheshimiwa Spika Dkt Tulia Ackson Mwansasu. Uzinduzi huo ambao rasmi umefanyika bungeni lakini kupitia CEO wake Mbatha Mazingiza amethibitisha kuwa wanachama wa klabu hiyo watapata kadi hizo ndani ya wiki mbili.Akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa Yanga Spika T u l ia amewaomba viongozi wao wakuu na viongozi waliosambaa mikoa yote ya Tanzania kusaka vipaji kwenye mechi za mitaani hili kupata wachezaji wapya na ambao watakuwa na mchango kwa timu hiyo na timu ya Taifa.

ALIKIBA APATA PIGO KWENYE NDOA YAKE

Picha
Dar es salaam Msanii wa bongo fleva Alikiba amepewa siku 15 za kwenda kujitetea katika kesi inayomkabili. Kesi yake ambayo imefunguliwa na mke wake Amina Khalif kwenye mahakama moja mjini Mombasa Kenya imemtaka staa huyo kufika kutoa maelezo kabla ya uamzi wa kuvunjwa kwa ndoa ya wawili ao. Amina mapema mwaka huu aliitaka mahakama hiyo kuridhia kuvunja ndoa ya wawili hao huku ikitajwa kwamba familia ya Alikiba wamekuwa wakimnyanyasa mrembo huyo raia wa Kenya na pia Alikiba ameshindwa kumjali mke wake .

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO

Picha