ALIKIBA APATA PIGO KWENYE NDOA YAKE


Dar es salaam

Msanii wa bongo fleva Alikiba amepewa siku 15 za kwenda kujitetea katika kesi inayomkabili.
Kesi yake ambayo imefunguliwa na mke wake Amina Khalif kwenye mahakama moja mjini Mombasa Kenya imemtaka staa huyo kufika kutoa maelezo kabla ya uamzi wa kuvunjwa kwa ndoa ya wawili ao.

Amina mapema mwaka huu aliitaka mahakama hiyo kuridhia kuvunja ndoa ya wawili hao huku ikitajwa kwamba familia ya Alikiba wamekuwa wakimnyanyasa mrembo huyo raia wa Kenya na pia Alikiba ameshindwa kumjali mke wake .


Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA