KIKWETE APATA ULAJI SADC

Gaborone.



Rais mstaafu wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa jopo la Wazee wa  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) litakalokuwa linashughulikia migogoro katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo.

Hafla ya kukabidhiwa barua ya uteuzi huo ,imefanyika Gaborone,Botswana ambapo makamu Mwenyekiti wa Jopo hilo akiwa ni Daramasivum Pillay B,Vay a poory,Makamu wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Mauritius.



Kikwete amekabidhiwa barua ya uteuzi huo Februari 28,2022 na Rais wa Botswana na Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa Asasi ya siasa,Ulinzi na usalama wa SADC ,Dkt Moksweetsi Eric Keabetswe Masis

Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI