PAUL MAKONDA AZIDI KUPETA

Dar es salaam.






Wakili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaamPaul Makonda ,Goodchance Reginald amesema mteja wake hakuwa amepewa wito wa kufika mahakamani zaidi ya kuziona habari hizo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Wakili Reginald ameyasema hayo leo katika mahakama ya Kinondoni jijini Dar es salaam na kuomba mahakama impe muda zaidi mteja wake ili kuwakilisha hati kinzani dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na mwandishi wa habari ,


  Saed Kubenea ya kutaka kibali cha kumfutia kesi ya jinai.

Kufuatia maombi hayo ,Hakimu mkazi Aron Lyamuya anayesikiliza shauri hilo ,amesema mahakama hiyo inampa Makonda siku 21 kuwasilisha hati hizo kinzani dhidi ya maombi ya kumfutia kesi ya jinai yaliyowasilishwa na Kubenea.

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA