KAJALA AFUNGA KUMUOMBEA MONALISA

Dar es salaam.


Frida Masanja
au Kajala Masanja ;ni staa mkubwa wa Bongo Movies ambaye amemshukru MUNGU baada ya watanzania waliokuwa nchini Ukraine kufanikiwa kuondoka kutokana na vita akiwemo mtoto wa mwigizaji mwenzake ,Monalisa aitwaye Sonia.


Kajala anasema kuwa,alifunga na kumuombea Sonia ambaye alikuwa masomoni nchini humo hili aweze kupita salama katika hali iliyotea Ukraine na kwasasa anamshukru MUNGU kwaajili ya Sonia kurudi na kuungana na familia yake akiwa salama.Sonia ni miongoni mwa watanzania waliofanikiwa kuondoka Ukraine wakiwa salama kupitia Urusi.

Kajala Masanja akizungumza na Gazeti la IJUMAA ,anasema kuwa kilikuwa kipindi kigumu mno alichokuwa anapitia Monalisa na yeye kama mzazi anajua machungu aliyoyapitia mwenzake.

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA