RAYVANNY NA LOKOLE WAINGIA VITA YA MANENO


Dar es salaam.

Mtangazaji wa kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM ya jiji Dar es salaam Juma Lokole amejikuta kaenye ugomvi na msanii wa Bongo Fleva Rayvanny.

Mtangazaji huyo wakati akitangaza alitoa ushauri kwa msanii Rayvanny kwamba alifanya makosa kwa kuachana na mzazi mwenzake Fahma na kuamua kuwa na mahusiano na mrembo Paula.Kutokana na ushauri huo Rayvanny naye alimjibu mtangazaji huyo kupitia Insta story akimueleza kwamba aachane nae kwasababu yeye na mzazi mwenzake bado wanaheshimiana.

___Zaidi Tazama video

Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI