RAIS VOLODYMYR ZELENSKIY WA UKRAINE ATAJA ATHARI ZA VITA NA URUSI

Kiev.



Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ametoa taarifa ya athari za shambulio la Urusi kwa nchi yake huku akitaja jumla ya watu 137 kuwa wamepoteza maisha wakiwemo na wanajeshi 10 na mpaka sasa jumla ya majeruhi ni 316.

Rais Volodymyr amenukuliwa "leo nimewauliza viongozi 27 wa nchi za Ulaya kuhusu kuhofia shambulizi la Ukraine lakini hakuna aliyejibu ,sisi hatuogopi ,hatuogopi chochote ,hatuogopi kuilinda nchi yetu,hatuwaogopi Urusi na hatuogopi kuongea na Urusi.
Familia yangu ,watoto wangu wote ni raia wa Ukraine sio wakimbizi kulingana na taarifa tayari tuna maadui ambapo mimi ndio "target" yao ya kwanza na familia yangu ni "target" namba mbili .Wanataka kuimaliza ikulu"


Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA