BUSTA RYMES AMPA TANO DIAMOND PLATINUMZ

Dar es salaam.




Msanii na mfanyabiashara kutoka code +255 namaanisha Tanzania, Diamond Platinumz ameachia video na audio ya wimbo wake GIDI ambapo kupitia mtandao wa Instagram aliandika gidi is out of global.



Kupitia ujumbe wake aliouweka kwenye Instagram ,miongoni ya walioweka maoni ni nguli rapa




   Basta Rhymes alieweka emoji za moto zipatazo saba (7) kuonyesha kukubali kile anachofanya Diamond Platinumz .

Wimbo wa Gidi huenda nao ukawa kwenye viwango vya wimbo wa jeje ambao umekuwa gumzo kwenye klabu nyingi za starehe nchini Marekani.

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA