MAREKANI ALIVYOWAINGIZA URUSI NA UKRAINE VITANI

Minsk.


Dunia leo imeshuhudia majeshi ya Urusi yakiishambulia nchi ya Ukraine pande za kaskazini,kusini na mashariki.

Mgogoro wa nchi hizi umekuwepo sasa miongo kadhaa kutokana na mwingiliano wa maene kama Donbas,Donetsk na Lugansk.Maeneo haya ambayo nchi ya Ukraine imekuwa ikiyapigania yawe yake ingawa wakazi wa maeneo haya wanaongea kirusi (Russian) tangu mwaka 2014.Katika mkataba wa mwaka 2015 uliofanyika Belarus wa kutaka maeneo haya yatambulike kama sehemu ya Ukraine yalishuhudia uasi mkubwa ambao umeligawa taifa hilo tangu enzi za Mapinduzi ya Orange (Orange Revolution) aliekuwa Rais wa Ukraine wakati huo Yulia Timoshenko alieungwa mkono na Urusi na Waziri Mkuu wake Viktor Yanukovych kwenye uchaguzi wa mwaka 2004 ambako rais Yulia Timoshenko alikataa matokeo yaliyompa Yanukovych ushindi ambao nchi za ulaya magharibi zilipongeza mno na hata Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani Michael Powell.

Kiini cha mgogoro

Urusi amekuwa mwiba mkali kwa nchi za magharibi kwa kutambua nchi za Ujerumani na Uingereza zinataka kumzoofisha kiuchumi.Urusi chini ya Rais wake


   Vladimir Putin amekuwa akifahamu fika nchi za magharibi zikishirikiana na Marekani zinamuwinda kwa hali na mali.Urusi ana vinu vya nuklia ambavyo Marekani hapendi Urusi awe navyo kwa hali hiyo Marekani anaitumia Ukraine kwaajili ya kuizoofisha Urusi katika utendaji wake.
Maeneo ya Donbas,Donetsk na Lugansk kwa asili ni ya Urusi ndio maana viongozi wa maeneo haya uchukuliwa kama waasi.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter Rais wa Ukraine 


  Volodymyr Zelensky alithibitisha  kuwa Crimea imeivamia Kiev.Mpaka sasa takribani watu 68 wamefariki kutokana na mashambulizi ya anga na ardhi ya majeshi ya Urusi.

Matamko ya Viongozi

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema Urusi iache vita na huku Scholz akisema hayo,Rais wa Marekani Joe Biden amekaa na baraza la usalama la nchi hiyo hili kupata ushauri juu ya Marekani ifanye juu ya uamzi wa Crimea ya Putin.Nchi ya China kupitia Rais wake haijatoa msimamo wake juu ya vita ya Ukraine  na Urusi.

Wakati huo,umoja wa Ulaya umesema utatoa vikwazo vikali kwa Urusi ambavyo havijawahi kutolewa .Ikumbukwe Urusi imewekeza zaidi ya dola za kimarekani takribani bilioni 638.








Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI