SENEGAL YAICHAPA 3-1 BURKINA FASO

Yaoundé.




Senegal imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika.

Senegal chini ya kocha wake Aloe Cisse imejipatia magoli yake kupitia kwa Abdou Diallo ,Idrissa Gana Gueye na nyota wa mchezo alietoa assist ya goli pia Sadio Mane na goli la kufutia machozi la Burkina Faso limefungwa na Toure.


Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Ahmadou Ahidjo umeipa Kibali Senegal kuingia fainali ya pili mfululizo.


Vikosi








Maoni

HABARI KUU LEO

ENRIQUE UTATA MTUPU

WACHEZAJI WAPOKEWA KIBINGWA

SABABU YA SADIO MANE KUONDOKA LIVERPOOL