SIMBA YAICHAPA RUVU WIKI (7)


Dar es salaam

Timu ya Ruvu shooting imepokea kipigo cha aibu ni baada ya kukubali kufungwa magoli saba (7) bila majibu na wekundu wa Msimbazi klabu ya Simba Football Club kwenye michuano ya kombe la shirikisho.

Mchezo huo wa kufuzu hatua ya robo fainali umechezwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa ukishuhudia mvua ya magoli yaliyokwamishwa na John Bocco dakika 01' 39',Clatos Chama dakika ya 23'27'72'',Jimmyson Mwanuke dakika ya 70' na goli la kujifunga la Masinde dakika ya 44".

Simba sasa imekuwa timu ya nane (8) kuingia hatua hii baada ya Pamba,Yanga,Kagera,Coastal,Azam na Geita kuwa tayari wamefuzu

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA