MAYELE KUONDOKA YANGA

Dar es salaam.



Mshambuliaji wa timu ya Yanga Sports Club RAIA wa Demokrasia ya Congo ,Fiston Kalala Mayele ameripotiwa kuwa kwenye rada za klabu ya Kaizer Chiefs ya nchini Afrika Kusini.

Mayele mwenye jumla ya magoli 10 kwenye ligi ya NBC Tanzania amekuwa gumzo kwenye nchi za Afrika kutokana na jinsi anavyozifumania nyavu na staili yake ya ushangiliaji.



Timu ya Kaizer Chiefs ipo kwenye mazungumzo na mawakala wa mchezaji huyo hili wamsajili kuchukua nafasi ya mshambuliaji Serbic Samir Nurkovic anaetarajia kuondoka kunako timu hiyo.

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA