CHECHE ZA MBOWE LEO IRINGA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Iringa.

Mwenyekiti wa taifa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa uraiani leo kwa siku ya nne toka atoke gerezani àmekutana na wanawake wa BAWACHA mkoa wa Iringa kwenye siku ya wanawake duniani.

Mbowe ambaye ametoa hotuba yake kwa tahadhali kubwa amesema "CHADEMA haikwamishi mipango ya serikali bali serikali inakwama ikiiona CHADEMA".

Mbowe ametumia fursa hiyo kuwashauri wanawake kuchangamkia fursa za Uongozi .

Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI