YANGA YATINGA ROBO FAINALI KIBABE


Dar es salaam

Klabu ya Yanga Sports Club imefanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la shirikisho la TFF baada ya kuilaza Biashara United ya mkoani Mara kwa jumla ya magoli mawili (2) kwa moja (1).

Yanga ikitakata vema kwenye uwanja wa Mkapa imejipatia magoli yake kupitia kwa Yanic Bangala na Fiston Mayele huku goli pekee la timu ya Biashara United likifungwa na Collins Opare .

Yanga inaingia hatua hii huku timu za Azam Fc,Geita Fc,Kagera sugar ,Coastal Union na Polisi Tanzania zikiwa zimeshatangulia kwenye hatua hio.

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA