HAKUNA NDOA YA DIAMOND NA ZUCHU HIKI NDIO KILIFANYIKA


Dar es salaam.

Wasanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz na Zuchu wamefanya shughuli kubwa katika ukumbi wa Mlimani City.

Katika tukio hilo lililoteka hisia za watu wengi hasa katika jiji la kibiashara la Dar es salaam ,wengi walifahamu fika msanii kipenzi cha watu Diamond Platnumz anamuoa msanii wa lebo yake ya WCB  Zuchu.

Katika hali ya hisia za watu kwamba ni ndoa kati ya wawili ao lakini mambo yalikuwa ya tofauti ni baada ya kilichohisiwa kuwa ndoa kugeuka maonyesho ya nyimbo tu.

Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI