SENEGAL WAICHAPA MISRI 4-2 WAKITWAA UBINGWA AFRIKA

Yaoundé Cameroon.



Timu ya taifa ya Senegal imetwaa ubingwa wa michuano ya kombe la mataifa Afrika.

Senegal chini ya mkufunzi Aliou Cisse imetwaa ubingwa huo ikiwa ni mara ya kwanza tangu michuano hii kuanzishwa.



Senegal yenye nyota


 kama Sadio Mane ilijaribu karata ya ubingwa huu miaka mitatu iliopita na kuishia kushika nafasi ya pili ni 


baada ya kufungwa kwenye fainali na Algeria.

Mchezo wa fainali umechezwa katika uwanja wa Olembe kwenye mji mkuu wa Yaounde.



Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA