CHELSEA YAICHAPA LILLE 2-0

London.



Timu ya Chelsea ya kaskazini mwa London imefanikiwa kuichapa klabu ya Lille ya nchini Ufaransa jumla ya magoli mawili (2) kwa sifuri (0) kwenye mkondo wa kwanza wa michuano ya klabu bingwa Ulaya yaani UEFA.



Lille mabingwa wa ligi ya Ufaransa msimu wa 2021-22 wamekubali kupoteza kwa idadi ya magoli mawili yakifungwa kwa ustadi na Kai Havertz na Christian Pulisic.

Kabla ya mchezo uo ,kocha wa Chelsea alinukuliwa na vyombo vya habari akikiri kuwa washambuliaji wa Chelsea wanapata wakati mgumu kufunga.





Kwingineko,Vilabu vya Juventus ya Italia na Villarreal ya nchini Uhispania vimetoshana nguvu ni baada ya kutoka kwa sare ya 1-1.


Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI