MBOWE AKUTANA NA RAIS SAMIA

Dar es salaam.



Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ,Samia Suluhu Hassan amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe yakiwa ni masaa machache baada ya kiongozi huyo kuachiwa na mahakama ya Divisheni ya makosa ya Jinai na uhujumu uchumi Ikulu jijini Dar es salaam.



Mbowe ameachiwa mapema leo ni baada ya mwendesha mashtaka DPP kuamua kuachana na kesi hiyo namba 16/2021 ambayo ilimuweka Mbowe na wenzake watatu ndani  kwa siku 226.

Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI