MISRI YAICHAPA CAMEROON 3-1

Yaoundé.



Leo nusu fainali ya pili imechezwa kwenye dimba la Limbe ikiikutanisha miamba wa Afrika Cameroon dhidi ya  Misri.



Mechi hii iliochezwa kwa takribani dakika 120 imeamliwa kwa mikwaju ya penati baada ya Misri kupata mikwaju mitatu (3) huku Cameroon ikipata mkwaju mmoja (1).

Misri mabingwa mara saba( 7) wa kombe hili wanamfuata Senegal ambaye alitinga hatua ya fainali baada ya kuibandua Burkina Faso magoli matatu (3) dhidi ya moja (1).





Misri ametinga fainali kwa kumgaragaza mwenyeji Cameroon huku Kocha wake mkuu Carlos Queroz  akilimwa Kadi nyekundu na huku benchi pia la ufundi likikosa huduma ya kocha msaidizi ambaye pia alifungiwa mechi NNE (4) za mashinda






Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI