WACHEZAJI WAPOKEWA KIBINGWA

Tokyo.

Timu ya Taifa ya Japan maarufu"SAMURANBLUE" imewasili katika uwanja wa Ndege wa Narita Tokyo na kupokewa na maelfu ya watu.

Wababe hao wa Asia walitolewa kwenye hatua ya 16 bora na Croatia baada ya kufungwa kwa mikwaju ya Penati 3 kwa 1.



Japan walionyesha ushindani wa Hali ya juu hasa kwa kucheza mpira wa nguvu na wa kasi hasa wakichagizwa na Wachezaji Kama Yokishida,
Takumi Mi


nomino  na Isaki ambao wanacheza soka la kulipwa barani Ulaya.


Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA