LIVERPOOL YAMNASA KINDA HUYU

Klabu ya Benifica ya nchi Ureno imethibitisha kuwa mshambuliaji wao Darwin Nunez kwa sasa ni mali ya Liverpool ya nchini Uingereza.

Klabu hiyo ya majogoo Liverpool imetoa kitita cha milioni 100 paundi za Uingereza hili kumsajili kinda huyo mwenye umri wa miaka 22 kwa kandarasi ya miaka sita (6).

Liverpool inajivunia uwepo wa wachezaji vijana kama Eliot (19),Carvalho (19),Nunez (22),Trent (23),Konate (23),Diaz (25) na Jota (25).

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA