YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI

 Dar es salaam.


Mchezo kati ya klabu ya Yanga na Namungo umemalizika hapa uwanja wa kumbukumbu ya Benjamini Mkapa kwa Yanga kuibuka na ushindi wa magoli mawili (2) kwa moja (1).

Magoli ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele na Feisal Salim. 

Kwingineko, Arsenal ya Uingereza imeibuka na ushindi wa magoli matatu bila majibu. 

Maoni

HABARI KUU LEO

ENRIQUE UTATA MTUPU

WACHEZAJI WAPOKEWA KIBINGWA

SABABU YA SADIO MANE KUONDOKA LIVERPOOL