SIMBA YAICHAPA 2 DODOMA JIJI


Dar es salaam

Mabingwa mara nne wa ligi kuu ya Tanzania, klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao mawili safi.

Simba ikicheza mbele ya mashabiki wake katika uwanja wa kumbukumbu ya hayati Benjamini Mkapa ,timu hiyo ilijipatia goli la kwanza kunako dakika ya 56 kwa mkwaju mkali wa penati uliokwamishwa kimyani na Clatous Chama huku goli la pili likipatikana dakika ya 75 kwa kichwa cha Meddie Kagere.



Simba inafikisha alama 37 nyuma ya Yanga mwenye alama 45 baada ya michezo 17 ya NBC PREMIER LEAGUE. 

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA