RAIS WA UKRAINE AKATAA KUIKIMBIA NCHI YAKE

Kiev.



Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekataa ofa ya Marekani ya kumsaidia kuondoka Ukraine.

Rais huyo amesema "mapambano yamefika,nahitaji risasi ,sio msaada wa kuondoka"

Marekani na washirika wa Ukraine walikuwa tayari kumpa msaada Rais Zelensky kuondoka nchini mwake.
Rais huyo ambaye amewahi kuwa mwigizaji wa majukwaani amekuwa Rais wa Ukraine tangu 2019.


Maoni

HABARI KUU LEO

GUARDIOLA AWAPIGA DONGO LIVERPOOL

YANGA NA ARSENAL ZAGAWA DOZI