HIZI NDIZO SABABU ZA WASANII WA WASAFI KUTOLIPWA NA COSOTA


Dar as salaam.

Serikali kupitia mamlaka ya haki miliki COSOTA imetaja sifa za msanii ambaye ana sifa ya kupata mirahaba kupitia kwao.

Sababu zilizotajwa na mamlaka hio ni pamoja na msanii kutakiwa kujisajili COSOTA  ndio atapata sifa za kupata mapato yake.Kupitia mamlaka hio imetajwa kwamba pia matumizi ya kazi ya msanii ndio itaamua msanii atapata mgao wa kiasi gani?

Kwasababu zilizotolewa na COSOTA  basi zimetoa mwelekeo wa kampuni ya WCB kukosa mgao wa fedha za mirahaba kwa wasanii wao kutokana na wasanii wa lebo hio kuwa na migogoro na vituo vingi vya habari kutokucheza kazi zao. 

Maoni

HABARI KUU LEO

MBIVU NA MBICHI RIPOTI YA MAUAJI MTWARA MEZANI KWA RAIS SAMIA

Pep Guardiola says he will try to make his half-time team talks shorter after Manchester City were fined £2million for late kick-offs by the Premier League.

SABABU ZILIZOIONDOA GSM KWENYE MPIRA WA TANZANIA